ADVERTISEMENT: TANGAZO LA ZABUNI YA UJENZI WA MAJENGO YA KITUO CHA MAFUNZO YA KILIMO MSETO, BAHI, DODOMA

Call-for-tenders

Partager cet article

Share on facebook
Share on linkedin
Share on twitter
Share on email

ADVERTISEMENT

TANGAZO LA ZABUNI YA UJENZI WA MAJENGO YA KITUO

CHA MAFUNZO YA KILIMO MSETO, BAHI, DODOMA

Mwisho kupokea maombi: Tarehe 09 Juni 2024 

Inades-Formation Tanzania (IFTz) ni Shirika Lisilo la Kiserikali lenye makao yake makuu Area C Jijini Dodoma. Tunakaribisha zabuni ya ujenzi wa majengo katika kituo cha mafunzo ya kilimo-mseto—Dryland Agroforestry Training Centre—kama ifuatavyo:

  • Ujenzi wa Ofisi ya Kituo (Ukubwa wa chumba uwe ni 4mx5m)
  • Ujenzi wa nyumba (Yenye vyumba 2 vya kulala, sebule, choo, bafu, jiko kwa pamoja) 3) Ujenzi wa Choo (Jengo moja lenye mgawanyo wa sehemu mbili (Kiume na Kike). Upande wa Kike kuwe na vyoo 2 (choo moja ya kukaa na nyingine ya kuchuchumaa) na upande wa Kiume kuwe na vyoo 2 (choo moja ya kukaa na nyingine ya kuchuchumaa).
  • Ujenzi wa Jiko (Lenye ukubwa wa 4mx4m).
  • Ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano/Darasa (Wenye uwezo wa kuchukua watu 60 waliokaa kwa wakati mmoja
  • Ujenzi wa mnara wa tenki la maji (Lenye kuezekwa kwa zege (concrete slab) lenye uwezo wa kubeba Simtank 2 zenye ujazo wa Lita 5,000 kila moja au Simtank 1 lenye ujazo wa Lita 10,000 za maji)
  • Jukwaa la wazi (Open-air stage/theatre).
  • Lango Kuu lenye upana wa 6m na urefu wa 7m (Main entrance gate branded). Kwa sasa litakuwa na nguzo nne (mbili kila upande) zitakazoshikilia ubao wenye maandishi

“DRYLAND AGROFORESTRY TRAINING CENTRE (DATC) ESTABLISHED BY INADES-FORMATION TANZANIA IN PARTNERSHIP WITH VI AGROFORESTRY

Kazi ya ujenzi wa majengo haya itafanyika katika eneo la kituo cha Mafunzo ya Kilimo Mseto kwenye eneo Kame, lililopo Kitongoji cha Lulunde katika makutano ya vijiji vya Kisima cha ndege, Zanka na Asanje Wilaya ya Bahi, Kilomita 45 kutoka Dodoma Mjini.

Sifa zinazotakiwa kwa waombaji:

  • Iwe ni kampuni au mtu binafsi aliyesajiliwa Kufanya kazi za ujenzi.
  • Awe na uwezo wa kuchora ramani za majengo, na kuandaa makadirio ya gharama za mahitaji ya ujenzi wa majengo (Bill of Quantity-BoQ) na kusoma ramani za majengo.
  • Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa ubora na kuikamilisha kwa wakati kwa mujibu wa makubaliano.
  • Awe mlipa kodi na anayeweza kutoa risiti ya mashine za EFD.
  • Mwenye uwezo wa kufanya kazi na kuikamilisha kwa kulipwa kwa awamu na kupokea malipo ya mwisho baada ya kukabidhi kazi iliyofanyika.
  • Mwenye uzoefu wa shughuli za ujenzi usiopungua miaka 4.
  • Maelezo mafupi ya kampuni au sifa zake zinazoelezea uzoefu kwenye kazi za ujenzi ambatainisha na vyeti/leseni halali za kufanya kazi.
  • Uteuzi wa mzabuni utazingatia uzoefu na gharama za ufanyaji kazi husika kwa kipindi kilichokubaliwa.

Kwa wale wenye sifa na vigezo tajwa hapo juu wanaombwa kutuma au kufika ofisi za Inades Formation Tanzania, zilizopo Dodoma eneo la Area C, kuleta au kutuma barua za maombi kupitia anuani hii:

Mkurugenzi Mtendaji,

Inades Formation Tanzania-IFTz, S.L.P 203, Area C, Dodoma.

Barua pepe: inadesformation.tanzania@inadesfo.net

Nakala ya Barua pepe: mbarwa.kivuyo@inadesfo.net

Download the Advertisement

Continuez votre lecture...

ABCD2 project

Projet ABCD-Un élève un arbre COP28

1. Project title

Supporting the scaling-up of community experiences and citizen monitoring of public policies in response to climate change in sub-Saharan Africa (ABCD 2 project)

2. Summary

The project to scale up community experiences and dynamics of citizen monitoring of public policies in the face of climate change in sub-Saharan Africa is the continuation of an initial project to capitalize on these experiences.

In fact, in 2022, with funding from the Basque Agency for Development Cooperation (ABCD), Inades-Formation carried out the “Study-capitalization of good practices in the face of the challenges of climate change and local governance in sub-Saharan Africa ” project, which capitalized on 50 experiences, including 31 climate change adaptation experiences and 19 governance experiences in 11 sub-Saharan African countries.

Based on the results of this pilot project, we have been able to identify and capitalize on some of the living realities of community efforts to combat the problems posed by climate change in Africa. They have been developed by a variety of players, including public services specializing in environmental and climate change management, civil society organizations and farmers’ organizations.

This second phase of the project, which will run for 30 months (2022-2024), aims to (i) scale up these good experiences developed by communities in African countries, in terms of adaptation, mitigation and resilience to climate change and of (ii) support the dynamics of citizen monitoring of the associated policy and regulatory frameworks.

ACF-AO project

WhatsApp Image 2023-08-24 at 15.13.12

1. Project title

Feminist Climate Action Project – West Africa ACF-AO

2. Summary

The “Feminist Climate Action in West Africa” project is being implemented in Côte d’Ivoire to contribute effectively to the resilience and fight against the effects of climate change by ecologically sensitive coastal and island communities, with a particular focus on rural women and young people.

It will build the capacity of communities, particularly women and young people, to implement strategies to protect biodiversity and ecosystems, notably through the adoption of agroecological practices, energy diversification and advocacy. It will strengthen the participation of rural women and young people in local governance of biodiversity and climate action.

Funded by Global Affairs Canada | Affaires mondiales Canada, the ACF AO project is taking place in Côte d’Ivoire, Guinea-Bissau, Senegal and Togo.

It is managed in Côte d’Ivoire by SUCO and Inades-Formation – Secrétariat Général.

FONDAFRICA LOGO

FondAfrica

Inades-Formation
Serving the Common Good

FondAfrica

Inades-Formation thanks you for your support for its actions of economic and social development in favor of the rural world.

Your donation will be forwarded to the recipient you have chosen.

Follow us by subscribing to our newsletters.

Inades-Formation
Serving the Common Good

FondAfrica

1. What is it?

The African Rural Development Fund (ARDF) was established on July 23, 1997 in Dar-es-Salaam, Tanzania, following the realization that Africa’s development can only be achieved through self-financing.

FondAfrica is an appeal to public generosity through collection actions from natural and legal persons.

2. Why make a donation?

FondAfrica is a particular instrument of Inades-Formation’s financing strategy. FondAfrica a formulé sa vision à moyen terme ainsi qu’il suit « In 10 years, thanks to the income from the funds collected by Fondafrica, Inades-Formation will have increased its self-financing capacity for services rendered to the African rural world to 40 % ».

Do you want to support Inades-Formation in its economic and social development actions for the rural world? If so, then take action through FondAfrica by making a donation.